# Maelezo ya jumla Yahwe anampa Yoshua mfululizo wa maagizo # Uwe hodari na jasiri sana Yahwe anamwagiza Yoshua ashinde hofu zake kwa ujasiri. # Usikengeuke upande wa kulia au wa kushoto Maneno haya yaweza kumaanisha agizo halisi. "Ifuate sheria kwa hakika" au ''Zifuate kwa ukweli na hakika" # ili uweze kufanikiwa "kutimiza lengo lako" au "kufikia lengo lango"