# Taarifa za jumla Huu ni muendelea wa sala ya Yona ambayo ilianza katika 2 :1. Katika mstari wa 4 Yona alizungumza juu ya kitu ambacho alikuwa ameomba kabla ya sala hii. # katika kina, ndani ya moyo wa Bahari Hii inazungumzia ukubwa wa bahari alipokuepo Yona # ndani ya moyo wa bahari "chini ya bahari" # maji yaliyonizunguka "maji ya bahari yalikuwa karibu kunizunguka" # mawimbi na gharika Kulikuwa na mvurugo juu ya uso wa bahari. ((Angalia tini_ufunua)) # Nimefukuzwa nje Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "Umenifukuza mbali" au "Umeniacha" (Angalia tini_washiriki) # kutoka mbele ya macho yako "kutoka kwako." Yona aliposema "macho yako" alikuwa akisema juu ya Bwana kwa ukamilifu wake. # lakini nitaangalia tena juu ya hekalu lako takatifu Yona ana matumaini kwamba, licha ya yote anayopita, ataona hekalu. (Angalia tani_kutaja)