# Karibuni ikaonekana Inaweza kufanywa wazi ambao walidhani meli itavunjwa. AT "Watu walidhani"(Angalia tini_zilizowazi) # inaweza kuvunjwa Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "kuvunja" # baharini watu ambao walifanya kazi kwenye Meli # Mungu wake mwenyewe Hapa "Mungu" ina maana ya miungu ya uongo na sanamu ambazo watu wanaabudu. # Wakatupa mizigo iliyokuwa kwenye Meli 'Watu walitupa vitu vikali sana kwenye meli.' Hii ilifanyika ili meli isiweze kuzama.. # ili kuifungua Kuifanya Meli iweze kuwa nyepesi na kuweza kuelea vizuri, AT: "kusaidia meli kuelea vizuri" # Lakini Yona alikuwa ameshuka kwenye sehemu za ndani za meli Yona alifanya hivyo kabla ya dhoruba kuanza. # chini kataika sehemu za ndani ya Meli "ndani ya Meli" # alikuwa amelala huko usingizi uliopitiliza "alikuwa amelala haraka usingizi" au "alikuwa amelala pale na amelala kupitiliza." Kwa sababu hii, dhoruba haikumuamsha.