# Bwana atasunguruma kutoka Sayuni, na kuinua sauti yake kutoka Yerusalemu Neno zote mbili zinamaanisha Yahweh atasema kwa sauti kubwa, wazi na yenye nguvu kutoka Yerusalemu. Ikiwa lugha yako ina neno moja la kupiga kelele hii inaweza kutumika kama maneno moja. AT "Yahweh atasema kutoka Yerusalemu" # Bwana ataunguruma Maana iwezekanavyo ni 1) 'Bwana atanguruma kama simba' au 2) 'Yahweh atanguruma kama radi.' # Mbingu na nchi zitatikisika Sauti ya Bwana ni yenye nguvu sana kwamba itawafanya mbingu na dunia kutetemeka. # Bwana atakuwa makao kwa ajili ya watu wake, na ngome kwa wana wa Israeli Maneno haya yote yanamaanisha Yahweh atawalinda watu wake. Ngome ni makazi yenye nguvu ya kulinda watu wakati wa vita. AT 'Yahweh atakuwa ngome yenye nguvu kwa watu wake'