# Nani awezaye kuiondoa ngozi yake? "hakuna yeyote anayeweza kuondoa nguo yake ya nje" # Nani anaweza kumchoma kwa silaha mara mbili? "Hakuna awezaye kumchoma katika ngovi yake nene" # Nani awezaye kuifungua milango ya uso wake, imezungukwa na meno yake ambayo yanaogofya? Hakuna yeyote anaweza kuyapanua makanwa yake...yanaogofya" # yamefungwa kwa pamoja kama chapa Hii ina maana kwamba magamba yamekaribiana kwa ukaribu na yameungana kwa pamoja.