# kama mti wa mwerezi "namna ambayo matawi ya mierezi yanavyokwenda.' # kama ya mirija ya shaba Mahali hapa, mifupa yake inalinganishwa na mirija iliyotengenezwa kwa shaba ili kuonesha jinsi mnyama alivyo mgumu # kama kipande cha chuma Huu mlinganisho wa mwisho unaelezea nguvu za mnyama mkubwa.