# zifunge nyuso zao "wafunge hao" # katika sehemu zilizositirika Hii ni njia nyingine ya kusema 'sheoli' au sehemu ambapo watu wa agano la kale walienda baada ya kufa.