# Hurarua Kiambishi 'hu' kinarejelea farasi. Farasi huchimbua ardhi kwasababu anakuwa amesisimka kuanza kupigana. # hurarua "kuchimbua ardhi kwa kutumia kwato" # hudharau "kuchekelea" # hashangazwi "kuogopeshwa'' au ''kuhofu'' # harudi nyuma "hakimbii mbali'' # podo ni chombo ambacho hutunza mishale # hugongagonga "kutikisika na kutoa kelele'' # ubavuni sehemu za pembeni za farasi # fumo ni mti mrefu uliochongoka mwishoni ambao watu huurusha kwa maadui zao.