# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # Mabawa... ya upendo Yahweh anatumia swali hii ili kutia mkazo kwamba Ayubu hawezi kuelezea kwanini mbuni wanaenenda jinsi wanavyofanya. # mbuni huyu ni ndege mkubwa ambaye anaweza kukimbia haraka, lakini hawezi kupaa. # kwa majivuno "kwenda kwa furaha" # mabawa haya ni manyoya marefu juu ya mabawa ya ndege # manyoya ni manyoya madogo yaliyoenea juu y mwili wote wa ndege # yana upendo Maana zinazowezana 1) "uaminifu" 2) "ya kurungu" Jina hili lilimaanisha "mwaminifu mmoja" au mwenye kupenda, kwasababu kunguru huwajali sana watoto wake. # katika nchi juu ya ardhi # kuyaharibu Neno hili linarejelea mayai. # kuyakanyaga "kukanyaga juu yao"