# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # hu... Kiambishi hiki kinarejelea punda mwitu # Hucheka kwa dharau Yahweh anaiongelea punda kana kwamba alikuwa ni mtu. Punda walichekka kwasababu wale walikuwa katika mji lazima wasikie sauti kubwa, ingawa alikuwa akiishi sehemu ya ukimya. # mwongozaji mtu ambaye anawalazimisha wanyama kufanya kazi. # malisho sehemu ambazo wanyama wanaweza kula mimea inayokua katika mashamba