# Sauti huunguruma baada yake...mshindo wa mwanga wakati sauti yake inaposikika Elihu anaendelea kuzungumzia radi kana kwamba ni sauti ya Mungu. # wakati sauti yake inaposikika "wakati watu wanapoisikia sauti yake"