# Hufungua pia masikio yao kwa ajili ya agizo lake "huwafanya wasikilize agizo lake" # siku zao....miaka yao Virai hivi viwili rinarejelea kipindi cha maisha ya mtu. # wataangamia kwa upanga "watakufa kifo cha vurugu"