# Haondoi macho yake kwa wenye haki "huwaangalia wale wenye haki" # huwaweka juu ya viti vya enzi kama wafalme Yahweh huwaheshimu watu kama watu wanavyowaheshimu wafalme. # nao wameinuliwa juu Maana zinazokubalika ni 1) anawafanya wengine" au 2)"anawafanya wengine wafanikiwe"