# Maelezo ya jumla Elihu anazidi kuongea na Ayubu # zingatia na unisikilize mimi; Virai hivi vinamaanisha kitu kile kile. "Nisikilize kwa umakini, Ayubu"