# Elihu anaendelea kunukuru kile alichomsikia Ayubu akikisema "akiba" ni vizuizi ya mbao ambayo ilitumika na bwana jela ambaye aliiweka katika miguu ya wafungwa kuwazuia wasitoke. # njia zangu Hii inarejelea matendo ya Ayubu # nitakujibu Elihu anazungumza na Ayubu