# ninyi ni wazee mahali hapa 'ninyi' ni wingi na inarejelea Ayubu na marafiki zake. # Urefu wa siku utazungumza; na wingi wa miaka utatufundisha hekima Hii mistari miwili inamaanisha kitu kimoja. Elihu anatia mkazo kwa kuwa watu wazee ni wenye hekima kulika vijana, wanatakiwa kuwa wa kwanza kusema yale wanayoyajua.