# Mifupa yangu imeungua kwa joto Hapa "mifupa" inawakilisha mwili wote, ambao unaugua katika homa # maombolezo "maombolezo" ni sauti kuu ya kilio chenye huzuni au maumivu.