# Sasa uhai wangu unamiminika kutoka ndani yangu Ayubu anahisi yu karibu kufa # maumivu ambayo yanaguguna kwangu hayapumziki Ayubu anaongelea maumivu yake kam kitu chenye uhai.