# juu ya mkono wangu wa kuume huinuka umati "kundi la vijana hushambulia nguvu zangu" au " makundi ya watu wanashabulia heshima yangu" # hujikusanya dhidi yangu kwa kunizunguka ...adui wamejiandaa kumshambulia Ayubu, kama jeshi linavyojiandaa kushambulia...