# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea kuhusu baba zao wenye kudhihaki # mboga ya chumvi ...majani ya vichakani...mizizi ya miretemu Hii ni mimea ambayo watu waliweza kula endapo hawakuwa kupata chakula kizuri. # mizizi ya miretemu kilikuwa chakula chao (1) watu walikula mizizi ya miretemu au 2) watu waliota moto kwa kuchoma mizizi ya miretemu. # walifukuzwa kutoka kati ya watu ambao waliwapigia kelele... mwizi "walipigiwa kelele na watu ...mwizi na kulazimishwa kuondoka" # waliwapigia kelele kama mtu anavyompigia kelele mwizi "waliwapigia kelele kana kwamba walikuwa wezi"