# na hutandaza mawingu yake juu yake maneno haya yanasema jinsi huifunika sura ya mwezi. KTN: " kwa kutandaza mawingu yake mbele yake" # amechonga mpaka wa duara Anasema kana kwmba Mungu aliweka alama ya mpaka juu ya bahari.