# nataka abaki Hapa "yeye", "a...ki", linamanisha "mwanafuzi ambaye Yesu alimpenda" Tazama 21:20 # Nitakapokuja Inamaaninisha kur duniani kwa Yesu mara ya pili, atakapokuja kutoka mbinguni. # hilo linakuhusu nini? "usijihusishe na jambo hilo" # ndugu Yesu ana anatumia neno hili kwa wanafuzi wake kama nduguze.