# ishara Hii inamanisha miujiza inayotumika kuonyesha ushahidi kuwa Mungu ana nguvu zote na ambaye ana mamalaka kamili juu ya ulimwen # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo muhimu cha Mungu # Uzima katika jina lake "Munaweza kuwa na uzima katika jina lake" # uzima hii inamaanisha maisha ya kiroho