# Pacha Tazama tafsiri tok Yohana 11:15 # yule mwanafunzi mwingine walimwambia baadaye neno "yule" linamaanisha Thomaso # Kma staona alama za misumari sitamini Nitaamini tu pale nitakapoona alama za misumari na ubavu wake # Mikononi mwake Neno "mwake" linamaanisha Yesu