# mwanafunzi mwingine Yohana anatumia neno hili kwa kuonesha unyenyekevu akimaanisha yeye mwenyewe pasipo kutaja jina lake. # aliona na kuamini Alipoona kuwa kaburi lipo wazi, aliamini ya kuwa yesu alikuwa amefufuka kutoka wafu # bado hawakuyajua maandiko hapa mwandishi anawaongelea wanafunzi ambao hawakujua bado maandiko yanayosema kuwa Yesu angefufuka tena.