# mwanafunzi mwingine Yohana anatumia neno hili kwa kuonyesha unyenyekevu akimaanisha yeye mwenyewe badala ya kutumia jina lake. # Sanda za kitani Hizi zilikuwa nguo za mazishi zilizotumika kuuzongazonga mwili wa Yesu.