# Siku ya kwanza ya Juma Jumapili # Mwanfunzi ambaye Yesualimpenda Sentesi hii inaonekana kuwa ni njia ambayo Yohana aliitumia kumwonyesha yeye katika kitibu chote. Neno "upendo" linamaanisha upendo wa ndugu au upendo wa rafiki au kwa mwanafamilia # Wamemchukua Mtu amechukua