# Sasa mahali ambapo Yesu alisulibiwa kulikuwa na bustani....hakuna mtu alikuwa amezikwa humo Hapa mwandishi Yohana anatoa maelezo kuhusu mahali ambapo kaburi lilikuwa # Kwa sababu ilikuwa siku ya maandalio kwa Wayahudi Kulingana na sheria ya Kiyahudi, hakuna mtu aliyeruhusiwa kufanya kazi baada ya jua kuzama. Ilikuwa ni mwanzo wa Sabato na Pasaka