# Yusuph wa Arimathaya Yusuph kutoka mji wa Arimathaya # kwa kuwaogopa wayahudi "Kwa kuwahofia viongozi wa Kiyahudi" # Nikodemo Huyu ndiye aliyeenda kwa Yesu wakati wa giza # manemane na udi Haya ni manukato yaliyo kabla ya mazishitumika kuandaa maiti # Mia moja Kipimo cha mia moja # Ratli "Ratli moja" ni sawa na kipimo cha gramu 31