# Yule mwanafunzi aliyempenda Huyu ni Yohana mwandishi wa injili hii # Mwanamke, mtazame, mwanao huyu hapa "Mwanamke, tazama na ufifkiri juu huyu mtu kama angekuwa mwano" # Mama yako huyu hapa "fikiri juu ya huyu mwanamke kama angekuwa mama yako"