# Maelezo ya jumla: Mwishoni mwa mstari wa 24 kuna tofauti kutoka habari kwa kuwa Yohana anaelezea jinsi tukio hili linatimiza maandiko. # kanzu askari waliweka kando kanzu na hawakuigawa # wakapiga kura hivi ndivyo askari walivyogawana mavazi ya Yesu.