# kwenye eneo liitwalo fuvu la kichwa Unaweza kutafsiri kama: "kwenye eneo ambalo watu wanaliita fuvu la kichwa" # ambalo kwa Kiebrania huitwa "Golgotha" Kiebrania ni lugha ya Waisraeli # pamoja naye wanaume wawili Unaweza kutafsiri kama: "pia waliwasulibisha wahalifu wengine wawili kwenye misalaba yao"