# ajaifanyaye kuwa mfalme "madai ya kuwa yeye ni mfalme" # akamleta Yesu nje Hii inamaanisha kuwa aliwaagiza askari kumleta Yesu nje il ikumwonyesha kwa makutano. # akakaa Watu wakubwa walikaa wakati watu wengine amabao si wskubwa walisimama. # Kwenye kiti cha hukumu Hiki ni kiti maalumu ambacho watu mhimu walikaa wakati wa kufanya maamuzi ya kiofisi. Utamaduni wako unaweza kuwa na njia tofauti wautaratibu huu. # Fuvu la kichwa Hili ni eneo maalumu ambalo watu maalumu ndio wsalioruhusiwa kupaingia, Utamaduni wako unaweza kuwa na maeneo maalumu kama hili. # Kihebrania Hii ilikuwa lugha ambayo wahebrania waliongea