# kweli ni nini? "Hakuna awezaye kujua kitu kilicho cha kweli" # Wayahudi hii inamaanisha viongozi wa Kiyahudi # siyo huyu, ufungulie Baraba tafsri kuonesha kuwa hawakumtaka Baraba bali Yesu # Baraba alikuwa mnyang'anyi Hapa Yohana anaeleza Baraba alikuwa mtu wa aina gani