# Maelezo ya jumla: Mstari wa 14 unatoa maelezo yanayomhusu Kayafa # Wayahudi hii inamaanisha viongozi wa Wayahudi # Walimkamata Yesu na kumfunga Askari walimfunga Yesu mikono ili asitoroke