# Markusi Markusi ni mtumishi wa kiume wa Kuhani Mkuu # Ala Huu ni mkoba wakisu au sime unauzuia kisu kisimkate mwenye nacho # Kikombe Hii inamaanisha 1) Kiasi cha mateso ambayo Yesu alitakiwa kuyapokea 2) Gadhabu ya Mungu ambayo Yesu ilimlazimu kuivumilia ili kuwalkomboa watu wake. # Je nisikinywee kikombe ambacho Baba yangu amenipa? Yesu anahoji hili swali kuonesha msisitizo kwamba lazima ateseke. # Baba Hiki ni cheo muhimu cha Mungu.