# Mimi Hapa neno "yeye" halipo kwenye tafsiri ya asili lakini limefananishwa tu na "mimi ndiye" # kuanguka chini watu walianguka chini kwa sababu ya nguvu za Yesu # Yesu Mnazareth Yesu, mtu wa kutoka Nazareth