# Mfariji Hii inamaanisha Roho Mtakatifu # Roho wa Kweli Roho ambaye atawaambia kweli yote # Ninyi pia mnashuhudia Kushuhudia ni kuwaambia wengine habari za Yesu # Mwanzo Hii inamaanisha siku za mwanzo za huduma ya Yesu.