# Hamkunichagua mimi Yesu anasema kuwa wanafunzi wake hawakuchagua wenyewe kuwa wanafunzi # nendeni mkazae matunda hii inamaanisha kuishi maisha yanayompendeza Mungu # kwamba matunda yenu yapate kukaa matokeo ya matendo yenu yadumu milele # lolote muombalo kwa Baba kwa jina langu, atawapeni "jina langu" ni kiwakilishi cha mamlaka ya yesu. # Mambo haya ninawaagiza, kwamba mpendane kila mtu na mwenzake Upendo wa aina hii unatoka kwa Mungu na unawafaidia wengine pasipo kujali matendo yao.