# Ninyi ni rafiki zangu ikiwa mtafanya yale niwaagizayo Mnaonesha ya kuwa mu rafiki zangu ikiwa mtaendelea kufanya yae niliyowaagiza # nimewajulisha mambo yote ambayo nimesikia kutoka kwa Baba Nimewaambia kila kitu ambacho Baba yangu aliniambia. # Baba yangu Hiki ni cheo muhimu cha Mungu