# Mpendwa Aina ya upendo huu kutoka kwa Mungu unalenga kuwatendea mema wengine, hata wakati usipomfaidia mwenyewe. Upendo wa aina hii unajali wengine, bila kujali wanafanya nini. # Baba ni mkuu kuliko mimi Mungu Baba ni mkuu kuliko Yesu, aliyekuwa akipitia kudharauliwa kama mwanadamu, lakini umilele, kama nafsi ya Mungu, wote wako sawa # Baba Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Mungu