# kupenda Aina ya upendo huu huja kutoka kwa Mungu na unalenga kufanya mema kwa wengine, hata kama hautafaa kwa mhusika. Aina ya upendo huu hujari wengine, haijalishi wanafanya nini. # Yeyote anipendaye mimi atapendwa na Baba yangu Wakati mmoja anampenda Yesu, naye Baba ampenda mtu yule. # Baba yangu Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Mungu. # Yuda (Siyo Iskarioti) Huyu ni Yuda mwingine si yule aliyemsulubisha Yesu.