# amini, amini Hii ina maana ya kumwamini Yesu, ndiyo kwamba, Kuamini kwamba ni Mwana wa Mungu, kumtumaini yeye kama Mwokozi, na kuishi katika njia ambayo inamweshimu yeye. # Chochote mkiombacho katika jina langu, nitafanya Hii ni hali ya kuonesha ukuu na uwezo wa Yesu # Baba...Mwana Hivi na vyeo muhimu vikielezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu.