# ameifanya mioyo yao kuwa migumu Huu ni msemo wenye maana kwamba Mungu amewafanya kuwa wasumbufu # mioyo yao kuelewa Wayahudi waliamini kuwa moyo ndicho kiungo kinacholeta uelewa