# kisha baadhi ya Wayunani hii inatoa utambulisho wa wahusika wapya katika simulizi # kuabudu katika sherehe Yohana anamaanisha kuwa Wayunani walikuwa wanaenda kumwabudu Mungu wakati wa Pasaka. # Bethsaida huu ulikuwa mji katika jimbo la Galilaya # na kisha wakamwambia Yesu Filipo na Andrea wakamwambia Yesu kuhusiana na Wayunani walioomba kukutana naye.