# mwache atunze alicho nacho kwa ajili ya siku ya maziko yangu Yesu anaeleza kuwa matendo ya yule mwanamke yanaweza kueleweka kama tazamio la kifo na maziko yake # maskini mtakuwa nao siku zote Yesu anamaanisha kuwa mtakuwa na nafasi ya kuwasaidia maskini siku zote # lakini hamtakuwa na mimi siku zote Kwa njia hii Yesu anasema kwamba atakufa