# yeye ambaye angemsaliti Yesu "Yeye ambaye baadaye aliwasaidia maadui wa Yesu kumkamata" # Basi alisema hivi...chukua baadhi ya vilivyomo ndani kwa ajili yako Yohana anaeleza kwanini Yuda aliuliza swali kuhusu maskini. # aliyasema haya, sio kwasababu aliwahurumia maskini, bali kwasababu alikuwa mwizi "alisema hivi kwasababu alikuwa mwizi. Hakuwajali maskini"