# kufa kwa ajili ya taifa Neno "taifa" linatumika kuonyesha watu wa taifa la Israel. # Watoto wa Mungu Hili linamaanisha watu wa Mungu kwa njia ya imani katika Yesu na ni watoto wake wa kiroho.