# Nuru haimo ndani yake Maana halisi 1) "hawezi kuona" au 2) hawezi kuona" # Rafiki yetu Lazaro amelala Lazaro amekufa lakini kwa ajili ya muda mfupi tu. # Lakini ninaenda ili kwamba nipate kumwamsha kutoka usingizini Yesu anaufunua mpango wake wa kumfufua Lazaro.