# Rabi, Wayahudi walikuwa sasa wanatafuta kukuponda mawe, na unarudi tena huko? "Mwalimu, kwa hakika huhitaji kurudi huko! Wayahudi wanajaribu kukuponda mawe.!" # Je hakuna masaa kumi na mbili ya mchana? "Unajua kwamba siku ina masaa kumi na mbili za mchana